Cheed Ndoa Lyrics
Umenitosha toshaa
Mama Umeburuza buruza
Kina Umenitosha tosha
sijui nikupe zawadi ganii
Amaniku leteege kidani
Hapa Wametupa jiwe gizani
Mungu atuepshie shetani
penzi iangu nilitetee
Isiwegundu linipotee
Hani umebeba roho yangu
Hatakama nikifa tuzikwe wotee
Babee nipe somoo aah
sweet teamo iyeh!
Oh beby give sam more
yaliyomo yamoo uuh
Tuwafunge midomo
Tuzidishe kipimo
Uo ndo mtazamoo
tuyazibemashimoo
Bado ubani wa ndoa (ndoa)
Tunasubiri ndoa (ndoa)
Yahalali Nsoaa ouohh!!
Nimelipata chaguo (ndoa..
Oohoo oohoo (ndoa)
Nimeivulia nguo ooh
Aah oohoo
Nwedo Nuru yangu
Nianazie mtima
Usijenpanga mafungu
Nyota ukaja kuizima
Kwa Kudra zake mungu
Akujaliee uzimaa
Sina haraka unipeleke nyumbanii
Htatushinde njaa
Mpenzi hanaga kinyongo
Kajizoelea
kininja ninjaa ahhha
huaga hana longo longo… Amezoeaa
Babee nipe somoo aah
sweet teamo iyeh!
Oh beby give sam more
yaliyomo yamoo uuh
Tuwafunge midomo
Tuzidishe kipimo
Uo ndo mtazamoo
tuyazibemashimoo
Bado ubani wa ndoa (ndoa)
Tunasubiri ndoa (ndoa)
Yahalali Nsoaa ouohh!!
Nimelipata chaguo (ndoa..
Oohoo oohoo (ndoa)
Nimeivulia nguo ooh
Aah oohoo
Leave a Reply